Kauli ya mwisho ya Jussa kabla ya kwenda matibabu
Автор: Weyani Tv
Загружено: 2020-11-04
Просмотров: 173310
Mwanasiasa mashuhuri wa Zanzibar, Ismail Jussa, amesafirishwa leo hii kuelekea nchini Kenya kwa ajili ya matibabu zaiid kufuatia kujeruhiwa vibaya kwa kipigo cha polisi wakati alipokamatwa kwenye maandamano ya kupinga uharibifu wa uchaguzi wa Zanzibar hivi karibuni. Kabla ya kuondoka alisimulia yaliyotokea na kutoa kauli yake kuhusu yanayokuja baadaye.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: