WEKA ALAMA - Anointed Singers Tz, OFFICIAL VIDEO
Автор: ANOINTED SINGERS TZ
Загружено: 2025-12-11
Просмотров: 1043
Copyright ©️ 2025 AnointedSingersTz
Yakobo 1:27 - Dini iliyo safi na isiyo na taka mbele ya Mungu Baba ni hii, Kuwasaidia yatima na wajane katika dhiki yao na kujilinda na Dunia pasipo mawaa.
WEKA ALAMA ni wimbo unaotukumbusha umuhimu wa kuacha alama ya Upendo, Ukarimu na Matumaini kwa watu wenye uhitaji wanaotuzunguka katika maisha. Kila tendo dogo linaweza kuleta mabadiliko makubwa kwenye maisha ya mtu yaweza kuwa tabasamu, maneno ya faraja au msaada wa hali na mali.
____________________________________________
SONG CREDITS:
Lyrics: Pendo Masunga
Melody & Vocal Arrangement: Elias Mrindoko
Audio: @bjbrandstudios9818
Mixing & Mastering: @bjbrandstudios9818
Instrumentation Credits: Shalom Music
Video: Nano Media Production
Directed By: Yoel Mrisho
English subtitles: Miriam James
_________________________________________________________________________
Email: [email protected]
Contact: +255 719 766 662 | +255 677 048 029
#choir #gospelmusic #worshipmusic #anointing
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: