ITV/Radio one wakabidhi zawadi ya madawati shule ya msingi Tandale.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2014-09-05
Просмотров: 2026
Katika kuadhimisha miaka 20 ITV Radio one tangu kuanzishwa kwake mwaka 1994, kampuni hii kongwe katika tasnia ya habari nchini,imekabidhi zawadi ya madawati 260 katika shule ya msingi Tandale iliyopo manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam ili kumaliza tatizo la watoto kuketi sakafuni kwenye shule hiyo yenye wanafunzi zaidi ya elfu moja.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: