Wakaazi wa Lamu wafanya maandamano kuadhimisha siku ya punda duniani
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2022-05-09
Просмотров: 5008
Siku ya punda iliadhimishwa katika kisiwa cha Lamu hapo jana huku wakaazi wa kisiwa hicho wakitaka juhudi zaidi kumlinda mnyama huyu. Punda hutumika kwa shughuli nyingi kisiwani ikiwemo uchukuzi na hata ukuzaji tamaduni za mji huu wa kitalii.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: