MBANGA PART1: Aliyezamia meli asimulia "wote walikufa/ tulikaa kwenye injini' | Dar24 Media
Автор: Dar24 Media
Загружено: 2020-04-11
Просмотров: 75149
#baharia #mbanga #comoro
Ni jamaa alojaribu kuzamia meli kwenda visiwani Mayotte akipitia njia za magendo huko visiwa vya Comoro.
Alipitia mengi hapa katikati kama kuuza dawa na mengine lakini alikamatwa mwisho wa siku akarudishwa Tanzania na sasa anauza mihogo koko beach hebu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: