Tabia 10 ambazo husababisha UMASKINI
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-03-18
Просмотров: 206049
Kila mtu huwa na malengo, kila mwenye malengo hutamani yafanikiwe. Hatahivyo watu wengi hufeli kutimiza malengo haya. Takwimu zinaonesha kati ya watu takribani Bilioni 7.7 waliopo duniani ni asilimia 5 tu kati yao ambao ni matajiri ambao utajiri wao huweza kurithiwa na vizazi vyao vinavyowafuata.
Asilimia 15 kati yao ni wale wa uchumi wa kati, ambao maisha yao ni ya kawaida, wanaweza kupata mahitaji yote muhimu ya maisha huku asilimia 80 ya watu wote duniani ni maskini yaani wanategemea kufanya kazi na kupata fedha zinazoweza kuwakimu kwa siku au wanategemea msaada kutoka kwa serikali za nchi zao.
Kutokana na hili wataalamu wa uchumi wameeleza kuwa zipo tabia ambazo watu huziona za kawaida lakini tabia hizi husababisha umasikini. Ayo TV na millardayo.com inakuletea orodha ya tabia hizo kama ifuatavyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: