Watanzania Wamwaga Ukweli Kuhusu Kenya: ‘Wao Ni Bora Zaidi Kisoka!’
Автор: MIZUKA MEDIA
Загружено: 2025-08-20
Просмотров: 21796
Baada ya Wakenya kushinda Zambia kwa bao 1–0 pale Kasarani Stadium, gumzo kubwa liliibuka mitandaoni kati ya Harambee Stars na Taifa Stars. Wakati Wakenya wakijisifu na kuwasha moto dhidi ya Watanzania, sasa Watanzania nao wameamua kutoa majibu yao.
Katika video hii tumekusogezea kauli kali za mashabiki na wachambuzi wa Tanzania – wengine wakisema ushindi wa Kenya dhidi ya Morocco ulikuwa bahati tu, wengine wakidai Kenya isijisifu sana kwa kuwafunga Madagascar, huku wengine wakionya kwamba Kenyans wanapenda kudharau majirani zao. Lakini cha kushangaza zaidi, kuna Watanzania waliokiri wazi kuwa Kenya ni bora zaidi kisoka na kwamba ushindi wao si wa kubahatisha!
👉 Je, ni ukweli kwamba Kenya iko juu zaidi ya Tanzania kwenye soka la Afrika Mashariki?
👉 Au hii ni drama tu ya mpira na maneno ya mashabiki mitandaoni?
Tazama video hii hadi mwisho uone kila kilichosemwa, kisha tuambie maoni yako 👇.
Usisahau ku-subscribe MIZUKA MEDIA kwa habari zote moto za mastaa, michezo, siasa na lifestyle kutoka Kenya, Tanzania na Afrika Mashariki nzima pamoja na diaspora.
#KenyaVsTanzania #HarambeeStars #TaifaStars #Kasarani #EastAfricanFootball #Morocco
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: