ANGANILE BUKUKU - WAMEKUBALI
Автор: Minister Anganile
Загружено: 2025-10-24
Просмотров: 1638
#wamekubali #gospelmusic #MinisterAnganilebukuku
Wamekubali Ni moja kati ya nyimbo nane kwenye Albam ya kwanza ya Anganile Bukuku inayoitwa NAENDA NYUMBANI
Wamekubali ni wimbo unaoonyesha Nguvu ya kinywa chako kama ilivyo andikwa kwenye kitabu cha Mithali 18:20 - 21 (Tumbo la Mtu litajazwa Matunda ya kinywa chake atashiba mazao ya midomo yake, Mauti na Uzima huwa katika uweza wa ulimi, na wao waupendao watakula matunda yake.
Instagram
https://www.instagram.com/minister_an...
Tiktok
https://www.tiktok.com/@minister_anga...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: