Abiria wa eneo la Kimara walalamikia utaratibu usioridhisha wa utoaji huduma mabasi ya mwendo kasi .
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2016-05-16
Просмотров: 1419
Usafiri wa magari yaendayo kwa haraka DART jijini Dar es Salaam umeanza rasmi huku ukikabiliwa na changamoto ya utaratibu kwa abiria kutoeleweka hasa katika swala zima la ukataji tiketi na kusababisha wingi wa watu katika vituo kama ITV ilivyoshuhudia katika kituo cha kimara mwisho.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: