Hii mashine ni balaa...Tunafika mpaka shambani kwako🌱
Автор: Jifunze Kilimo Tz🇹🇿
Загружено: 2021-09-26
Просмотров: 1720
Tunafika shambani kwako kukagua shamba lako la papai na kukupatia ushauri wa kitaalamu.
Tunapiga dawa kwa kutumia mashine ya 'fumes' na kuweka shamba lako chini ya uangalizi wetu.
Epuka magonjwa na changamoto mbalimbali kwenye kilimo cha papai.
Piga au tuma ujumbe WhatsApp:👇👇
0758447040.
Nyote mnakaribishwa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: