Jinsi ya Kupika VIBIBI Vitamu Sana | VIBIBI
Автор: BelsFarm Kitchen Swahili
Загружено: 2024-05-28
Просмотров: 351
vibibi | jinsi ya kupika vibibi. jifunze jinsi ya kupika vibibi vitamu Sana. mahitaji yake Ni Rahisi kwa kila familia.
MAHITAJI:-
Mchele (nusu kilo)
mayai 2
unga was ngano (kikombe 1)
iliki (Kijiko 1 cha chakula)
sukari (vijiko 4-5 vya chakula)
chumvi (Kijiko 1 cha chai)
hamira (Kijiko 1 cha chakula)
baking powder (Kijiko 1 cha chai)
tui la Nazi (nusu lita)
#vibibi #mikateyachila #jinsiyakupikavibibi #mapishiyavibibi #belsfarmkitchenswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: