TARI NI SEHEMU YA MAONESHO YA NANENANE I PATA MBEGU BORA ZA MAZAO MBALIMBALI
Автор: Shamba hub
Загружено: 2025-08-06
Просмотров: 234
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) ni miongoni Mwa wadau wakubwab katika sekta ya Kilimo Nchini.
Kila maka wamekuwa wakishiriki maonesho ya siku ya Wakulima ambapo kwa mwaka hue wamifika katika maonesho hayo yanayoendelea hapa Nanenane Mbeya kuonesha Mbegu, Mazao, Teknolojia na tafiti mbalimbali za Mbegu walizofanya.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: