KUKU KROILER HYBRID | Wonders Farm Tz | Dar es salaam Tanzania
Автор: Wonders Farm Tz
Загружено: 2025-10-03
Просмотров: 990
🐓 Wonders Farm Tz
"Ubora na Uaminifu"
🔥 TUNAUZA KUKU CHOTARA – “KROILER HYBRID” 🔥
📅 Umri: Mwezi 1 na Wiki 1
💉 Afya:
Wamepata chanjo zote muhimu
Wamepewa vitamini na antibiotics
💰 Bei: Tsh 7,500 tu!
✨ SIFA KUU ZA KROILER HYBRID:
Nyama laini na ladha nzuri
Uzito wa wastani hufikia;
🐔 Mitetea: 3.5 kg
🐓 Majogoo: 4.5 – 5 kg
Utagaji wa mayai: 260 – 280 kwa mwaka 🥚
(Utajiri wa Kroiler ni mayai aisee!)
#chotara #chicken #poultryfarming
Ukuaji wa haraka na kustahimili mazingira
📍 Tupo: Goba – Tegeta A (Kwa Bedui)
📞 Mawasiliano:
+255 695 531 174 (SMS / Call / WhatsApp)
✅ Afya Imara | ✅ Nyama Bora | ✅ Mayai Mengi | ✅ Faida Uhakika
Karibu Sana,
Mteja kwetu ni 'BARAKA'
Kwa Ubora na Uaminifu
Chagua Wonders Farm Tz.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: