WATU WOTE NA WAKUSHUKURU BY M. B. SYOTE|SHUKRANI
Автор: JOACHIM BAHATI
Загружено: 2021-07-26
Просмотров: 3527
WIMBO(SONG)4: WATU WOTE NA WAKUSHUKURU
MTUNZI(COMPOSER): M.B. Syote
ORGAN: YAMAHA ELECTONE EL-90
ORGANIST: Joachim Bahati
LOCATION: TheGalaxyPro Studio DSM
"In the loving Memory of musicandus Melchior Basil Syote"
TAFAKARI:
Katika kila hatua yoyote ya maisha tunayoipiga Ni lazima tumshukuru Mungu kwa mema yake yote.
Tukumbuke kwamba Kushukuru Ni kuomba tena, hivyo yatupasa Kutoa neno la shukrani kwa MUNGU.
Sambamba na hilo, karibu tuweze kusikiliza sauti hii nzuri ambayo inaweza katusindikiza katika tafakari yetu.
WIMBO:
Kiitikio: _Watu na wakushukuru Ee Mungu, watu wote na wakushukuru, watu wote na wakushukuru BWANA. x2
1. Mungu na Atufadhili na kutubariki, Na kutuangazia uso wake, njia yake ijulikane duniani.
2. Na wokovu wake ujulikane katika mataifa yote.
3. Mataifa na washangilie, naam waimbe kwa Furaha, maana kwa haki utawahukumu watu, nakuwaongoza mataifa duniani.
usisahau kushare na kusubscribe channel hii yetu na kutupa Maoni yako.
TUMWIMBIE BWANA KATIKA ROHO NA KWELI
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: