Ni Neema Ya Mkombozi Sikustahili | Swahili Worship
Автор: Sounds of Afrika
Загружено: 2025-06-01
Просмотров: 12171
A reggae
Ni neema, ya mkombozi
Ni neema, sikustahili
Ni neema, ya mkombozi
Nineema, sikustahili
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimehesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimehesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimehesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimehesabiwa haki
Ni neema, ya mkombozi
Ni neema, sikustahili
Ni neema, ya mkombozi
Nineema, sikustahili
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimehesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimehesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimehesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimehesabiwa haki
[Saxophone music 8 bars]
[verse 1]
[soloist]
Ukuhani wa kifalme,
Uuzaao mteule,
Mtu wa milki, ya mungu
Niimefanyika kuwa mwana
Ukuhani wa kifalme,
Uzaao mteule,
Mtu wa milki,ya mungu
Nimefanyika kuwa mwana
[short music break 4 bars]
[verse 2 same melody as verse 1]
Kwa kazi ya msalaba
Yakale yoteyamepita
Tazama yamekuwa mapya
Nimefanyika kuwa mwana
Kwa kazi ya msalaba
Yakale yoteyamepita
Tazama yamekuwa mapya
Nimefanyika kuwa mwana
[Choir]
Ni neema, ya mkombozi
Ni neema, sikustahili
Ni neema, ya mkombozi
Nineema, sikustahili
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimehesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimehesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimehesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimehesabiwa haki
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: