KKKT Dayosisi ya Karagwe Tamasha la Uimbaji wa Dayosisi tarehe 09/09/2022 j by Robert L. Ndendya
Автор: ROBERT NDENDYA
Загружено: 2022-09-13
Просмотров: 3190
kIlikuwa siku nzuri sana iliyopendeza, Katika Jimbo la Ngara, usharika wa Ngara mjini ambapo Tamasha la uimbaji lilifanyika katika jimbo hilo baada ya mashindano kufanyika Jimbo hilo miaka 10 iliyopita yaani mwaka 2012. Kwaya 9 zilishiriki Omurushaka waliibuka mshindi wa kwanza wa dayosisi, wakifuatiwa na Ngara na Kayanga. Neno kuu lilitoka kitabu cha Mathayo 10:34
Kwa mawasiliano zaaidi, piga 0757183892 au [email protected]
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: