TADB yawahimiza wakulima na wafugaji kuchangamkia mikopo 'dhamana ipo'
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-07-29
Просмотров: 1516
Benki ya Maendeleo ya Kilimo nchini (TADB) imewahimiza wakulima na wafugaji wenye uhitaji wa mikopo kwa ajili ya shughuli zao kutumia fursa ya dhamana ya mikopo iliyowekwa na serikali kupitia benki hiyo ili kuchochea ukuaji wa shughuli hizo.
Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Frank Nyabundege alipokuwa akitoa mafanikio ambayo benki hiyo imeendelea kuyapata ikiwemo kutoa mikopo ya zaidi ya Shilingi Bilioni 317 kufikia Juni 2024 kwa wakulima na wafugaji nchini.
Imeandaliwa na Esterbella Malisa || Mhariri @moseskwindi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: