JEH, UMECHOSHWA OFFICIAL AUDIO BY RAYMOND MDEMU & MASS CHOIR GOSPEL MUSIC
Автор: Raymond Mdemu
Загружено: 2022-10-02
Просмотров: 2961
RAYMOND MDEMU & MASS CHOIR GOSPEL MUSIC.. SONG JEH, UMESHOSHWA? Official Audio...
Maranyingi wanadamu tunapitia mambo mengi ktk ulimwengu huu.. Ikiwemo Shida, dhiki, Njaa, Vifo nk. Kupitia kundi hili la Mass Choir Gospel Music Chini ya Raymond Mdemu.. Wanakwambia jeh umechoshwa? Na sasa kama unasumbuliwa kwa lolote.. Ndani ya wimbo huo utapata maneno yatakayo kuelekea kwa kupeleka shida yako.. Ahsante usisahau ku subscribe na kubonyeza hiyo alama ya Kengele ili kuwa wa kwanza kupata Muziki Safi nk.. Karibu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: