Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

HII NDIYO NJIA YA KUREJESHA AMANI KATIKA JAMII ZETU: KHUTBA YA IJUMAA / SHEIKH ABDULQADIR AL-AHDAL

Автор: Kishki Online TV

Загружено: 2025-11-21

Просмотров: 266

Описание:

Majadiliano yanayozingatia adabu ni ufumbuzi wa migogoro

Rais wa taasisi ya Al-Hikma Foundation, Sheikh Sharif Abdulqadir Al-Ahdal katika 'khutuba' ya Ijumaa aliyoitoa leo Novemba 21, 2025 katika Msikiti wa Nurul-Hikma ulioko Temeke, amehimiza jamii ya Watanzania kujenga utamaduni wa majadiliano yenye adabu, hekima na heshima kwa lengo la kulinda amani na mshikamano wa taifa.

Katika khutuba yake iliyokuwa na kichwa cha habari, 'Adabu za majadiliano' Sheikh amesema hakuna binadamu aliyekamilika, na kwamba tofauti za kimitazamo au migogoro ni sehemu ya maumbile ya mwanadamu, jambo linalojitokeza hata katika familia na kati ya jamii mbalimbali.

Akinukuu Qurani Tukufu, Sheikh Abdulqadir ameeleza kuwa Nabii Adamu (AS) alipokosea mbele ya Mola wake alikiri kosa na kutubu, na kwa sababu hiyo akapewa msamaha. Kinyume chake, Ibilisi (shetani) alikataa kukubali kosa na akaonyesha kiburi, hali iliyosababisha kulaaniwa. Amesisitiza kuwa katika Uislamu, watu wanapokosana au kutoelewana, wanahimizwa kukaa pamoja na kufanya majadiliano kwa lengo la kurejesha maelewano na ni vyema mwenye makosa akakiri kwa maslahi ya amani.

Sheikh huyo amebainisha kwamba historia ya taifa inaonesha wazi namna wananchi walivyopambana na wakoloni hadi kupata uhuru, kisha kuendelea kujenga miundombinu na maendeleo mbalimbali ambayo yanapaswa kulindwa.

Amefafanua kuwa miongoni mwa adabu muhimu za mazungumzo katika kusaka maelewano ni kutouona upande mwingine katika meza ya mazungumzo kuwa duni. Adabu nyingine muhimu amesema ni pamoja na kuweka mbele maslahi ya jamii badala ya maslahi ya chama, kabila au dini. Ameongeza kuwa kuzungumza kwa lengo la kutafuta amani haina maana ya udhaifu, bali ni alama ya busara.

"Kufanya mazungumzo haina maana kwamba wewe ni dhaifu na si kwamba wewe umeshindwa bali inaonesha wewe una akili nzuri na hekima," amesisitiza.

Sheikh Abdulqadir amesema hata katika Qurani, Mwenyezi Mungu alifanya mazungumzo na Malaika kabla ya kumuumba mwanadamu, jambo linaloonesha kuwa mjadala una nafasi muhimu katika kutafuta haki.

Akimalizia khutuba yake amewataka vijana kuepuka maneno ya chuki na kusikiliza ushauri wa wazee na viongozi wa dini kwa ajili ya kulinda amani ya nchi yao.

HII NDIYO NJIA YA KUREJESHA AMANI KATIKA JAMII ZETU: KHUTBA YA IJUMAA / SHEIKH ABDULQADIR AL-AHDAL

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

YAJUE MARADHI MATANO YANAYOWAMALIZA WAISLAM - SHEIKH KISHK

YAJUE MARADHI MATANO YANAYOWAMALIZA WAISLAM - SHEIKH KISHK

TAFSIRI YA KHUTBA / HII NDIYONJIA YA KUREJESHA AMANI KATIKA JAMII ZETU: SHEIKH ABDULQADIR AL-AHDAL

TAFSIRI YA KHUTBA / HII NDIYONJIA YA KUREJESHA AMANI KATIKA JAMII ZETU: SHEIKH ABDULQADIR AL-AHDAL

SIFA TANO ZA WENYE KUKUFURU NEEMA ZA ALLAH -  SHEIKH KISHK

SIFA TANO ZA WENYE KUKUFURU NEEMA ZA ALLAH - SHEIKH KISHK

UCHAMUNGU NI AMRI YA ALLAH KWA VIZAZI VYOTE: KHUTBA YA IJUMAA SHEIKH HAMZA RAMADHAN

UCHAMUNGU NI AMRI YA ALLAH KWA VIZAZI VYOTE: KHUTBA YA IJUMAA SHEIKH HAMZA RAMADHAN

MAAJABU YA MAKABURI YA KISUTU/SABABU YA KUZIKWA WATU MAARUFU/WATU KUCHUKUA MCHANGA WA MASHARIFU

MAAJABU YA MAKABURI YA KISUTU/SABABU YA KUZIKWA WATU MAARUFU/WATU KUCHUKUA MCHANGA WA MASHARIFU

Mkuu wa wilaya ya Masasi amkaribisha Sheikh Kishk ampa ujumbe mzito

Mkuu wa wilaya ya Masasi amkaribisha Sheikh Kishk ampa ujumbe mzito

WAISLAMU MASASI WAMPOKEA SHEIKH KISHK KWA KISHINDO

WAISLAMU MASASI WAMPOKEA SHEIKH KISHK KWA KISHINDO

HII NDIYO KAZI YA KWANZA YA MTUME MUHAMMAD S.A.W

HII NDIYO KAZI YA KWANZA YA MTUME MUHAMMAD S.A.W

Как ПРОИЗВОДИТСЯ ЦЕМЕНТ на самых передовых фабриках мира! Уникальные кадры с производства!

Как ПРОИЗВОДИТСЯ ЦЕМЕНТ на самых передовых фабриках мира! Уникальные кадры с производства!

HABARI KUBWA MCHANA HUU KUTOKA TANZANIA....

HABARI KUBWA MCHANA HUU KUTOKA TANZANIA....

عبد الرحمن السديس تلاوة تريح القلب سورة يس + الواقعة+ الرحمن + الملك + الكهف لزيادة الرزق و البركة

عبد الرحمن السديس تلاوة تريح القلب سورة يس + الواقعة+ الرحمن + الملك + الكهف لزيادة الرزق و البركة

Sabah Al Khair || Pesa Zako || Uchambuzi Wa Magazeti

Sabah Al Khair || Pesa Zako || Uchambuzi Wa Magazeti

LIVE:WADHAKKR - ADABU ZA KUTAKA USHAURI MITANDAONI NA SHEIKH BASHIR DULE

LIVE:WADHAKKR - ADABU ZA KUTAKA USHAURI MITANDAONI NA SHEIKH BASHIR DULE

Аль-Хабиб (Любимец) #4 - Сирота из Мекки | Шейх Набиль аль-Авады

Аль-Хабиб (Любимец) #4 - Сирота из Мекки | Шейх Набиль аль-Авады

HII NDIYO NJIA YA KUOGA JANABA | SIYO LAZIMA KUTIA UDHU | SHEIKH SALIM SHAMSI

HII NDIYO NJIA YA KUOGA JANABA | SIYO LAZIMA KUTIA UDHU | SHEIKH SALIM SHAMSI

🔴LIVE: GOODMORNING NDANI YA WASAFI FM  - 26/11/2025)

🔴LIVE: GOODMORNING NDANI YA WASAFI FM - 26/11/2025)

Ukitaka Kinga Bora Fuata Njia hii. Mtoa Mada Sheikh Nurdeen Kishk.

Ukitaka Kinga Bora Fuata Njia hii. Mtoa Mada Sheikh Nurdeen Kishk.

Waislamu Masasi huwambii kitu kwa Sheikh Kishk/wataka aongeze siku

Waislamu Masasi huwambii kitu kwa Sheikh Kishk/wataka aongeze siku

Почему жена Нуха выбрала смерть вместо спасения? Трагедия женщины, не поверившей мужу

Почему жена Нуха выбрала смерть вместо спасения? Трагедия женщины, не поверившей мужу

SENSACJA W MANCHESTERZE! ZACZAROWANA BRAMKA BAYERU! MAN CITY - BAYER, SKRÓT MECZU

SENSACJA W MANCHESTERZE! ZACZAROWANA BRAMKA BAYERU! MAN CITY - BAYER, SKRÓT MECZU

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]