WATOTO WA MACOOBA WATAKUFURAHISHA, WANAVYOJIAMINI, KUHOJI NA KUJUA LUGHA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2020-11-29
Просмотров: 13326
Nilikutana na Mtoto wa miaka saba aliyesimama mbele ya kundi kubwa la Watu wazima lakini akawa anaongea kwa kujiamini, bila aibu wala kuinamisha kichwa chini, lugha zote mbili za Kiingereza na Kiswahili alizimudu... ikanivutia, ikabidi nitafute mafaniko yalikoanzia... kumbe Mfanikishaji ni Malkia wa Nguvu Mary Moses Ng'wananogu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: