Janga la kibinadamu limeshuhudiwa Angata Barrikoi baada ya mapigano ya kikabila
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-12-21
Просмотров: 725
Eneo la Angata Barrikoi linakabiliwa na janga la kibinadamu kufuatia mapigano ya jamii mbili eneo hilo. Wakazi zaidi wametorokea katika kituo cha polisi cha Kona, huku vijiji vikisalia mahame. Aidha watoto wanahangaika, makali ya njaa na magonjwa yakiwa tishio kubwa kwa maisha yao
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: