"NILIMVIMBIA DIAMOND LIVE!" DULLAYO APASUA UKWELI DIAMOND ALIVYOMKERA KABLA YA UMAARUFU/ ALIKIBA PIA
Автор: Kasomo tv
Загружено: 2025-06-26
Просмотров: 2947
Katika mahojiano ya kusisimua, DULLAYO afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu namna alivyoingia kwenye mvutano mkali na DIAMOND PLATNUMZ kipindi ambapo Diamond hakuwa bado maarufu. Dullayo anaeleza kile kilichomkera hadi kufikia hatua ya "kumvimbia live" na namna walivyomaliza tofauti zao. Pia, haachi kumgusia ALIKIBA na uhusiano wao wa kikazi na kirafiki.
🔴 Usikose kutazama maelezo ya ndani kuhusu migogoro ya zamani, maisha ya muziki, na taswira halisi ya mastaa hawa kabla ya umaarufu!
✅ Subscribe kwa habari zaidi za mastaa, muziki na matukio ya kipekee!
📌 Comment, Like & Share ili wengine wapate kufahamu stori hii ya kipekee.
#kasomotv
#Dullayo #DiamondPlatnumz #Alikiba #BongoFleva #MigogoroYaWasanii
#dunia #gospelmusic #kasomotv #wasafimedia #wasafi #yanga #simba #dunia #globaltv
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: