Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Sauti yetu, haki yetu, usawa kwa wote

Автор: Sightsavers

Загружено: 2025-05-08

Просмотров: 132

Описание:

Tanzania iko karibu kufanikisha hatua muhimu ya kuridhia Itifaki ya Haki za Watu wenye Ulemavu Afrika (ADP).

Watetezi wa haki za watu wenye ulemavu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar wanaeleza maana ya kuridhiwa kwa itifaki hii na kwa nini ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuhimiza kufanikisha hatua hii.

Zaidi ya watu milioni 80 wenye ulemavu wanaishi barani Afrika, wengi wao wakikabiliwa na aina mbalimbali za unyanyapaa na ubaguzi unaohusiana na imani za jadi na ushirikina. Mara nyingi, wanatengwa na kunyimwa huduma za msingi kama elimu na huduma za afya, kutokana na mitazamo hasi au ukosefu wa miundombinu fikivu.

Kuridhia Itifaki ya Haki za Watu wenye Ulemavu Afrika ni hatua muhimu katika kulinda haki, utu, na ustawi wa watu wenye ulemavu barani Afrika.

Kwa maelezo zaidi, wasiliana na:
Edwinah Orowe | Kiongozi wa kampeni ya ADP ya Sightsavers [email protected]

Au tembelea: https://campaigning.sightsavers.org/r...

Sauti yetu, haki yetu, usawa kwa wote

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

array(0) { }

© 2025 dtub. Все права защищены.



  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности



Контакты для правообладателей: [email protected]