Paul Clement Ft Melisa John - Kiapo (Official Audio)
Автор: Paul Clement
Загружено: 2019-08-06
Просмотров: 51259
Kiapo ni wimbo ambao umeandikwa na PAUL CLEMENT na kuimbwa na PAUL CLEMENT na MELISA JOHN na kurekodiwa studio ya fisher records na kufanyiwa mixing na John Marco. Wimbo huu ni maalumu kabisa kwa ajili ya mke wake Anna Madaha. Kwa Moyo mweupe kusikiliza wimbo mpya,Nimaombi yangu mara baada ya kusikiliza utasambaza wimbo huu kwa watu wengi uwezavyo.Art By Maja Panja
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: