GARI LA AJABU LILIVYOWASHANGAZA WATU ARUSHA, JAMAA KAINUNUA MILIONI 68
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-07-08
Просмотров: 749024
Muonekano wa gari hili umewashangaza watu wengi kutokana na muonekano wake lakini mmiliki anasema gari hiyo ameinunua million 68 nchini japani alipokwenda kusoma na ina kazi mbili ikiwemo kwenda kutembelea sehemu mbalimbali ku-enjoy lakini kazi yake nyingine inabeba maiti na inaweza kumhifadhi kwa zaidi ya siku ishirini
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: