PART4:MSINGI WA UKWELI KATIKA KILA JAMBO TUNALOFANYA
Автор: Hebron Temple tv
Загружено: 2025-09-01
Просмотров: 345
📞 Ushaka kutuvugisha cyangwa kugira icyo utubaza?
Wahamagara cyangwa ukatwandikira kuri nimero:
👉 +250 788 855 965 (Pastor Emile)
#bible #subscribe #jesus
Kila jambo unalofanya bila msingi wa ukweli, mwisho wake ni maumivu na majuto. Ukweli ndio taa ya maisha, bila hiyo utapotea gizani.
Tambua ya kwamba uongo unaweza kuonekana mzuri kwa muda mfupi, lakini ukweli pekee ndio utakaokupa amani ya kweli na ushindi wa kudumu.
👉 Chagua ukweli leo kabla hujachelewa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: