DC MAGEMBE, MKURUGENZI ZAHARA MICHUZI WAFAFANUA MRADI WA BILIONI 4 SHULE YA WASICHANA MAGOGO.
Автор: MwangazaTV
Загружено: 2023-11-07
Просмотров: 355
Mkuu wa Wilaya ya Geita Cornel Magembe pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita Zahara Michuzi wamesema utekelezaji wa mradi wa Shule Maalumu ya Sekondari ya Wasichana inayojengwa Magogo unakwenda vizuri na ifikapo Januari 2024 itakuwa imekamilika.
Viongozi hao wameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Martine Shigella ambaye amefanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya Halmashauri ya Mji ukiwemo mradi huo unaotekelezwa kwa fedha kutoka serikali kuu zaidi ya Sh. bilioni 3.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: