MAAJABU ya MITSUBISHI OUTLANDER kutoka Dar mpaka Mbeya - Mr Sabyy
Автор: Mr SABYY
Загружено: 2021-10-12
Просмотров: 7340
Usibonyeze Link hii chini 👇👇👇 kama huna ROHO NGUMU juu ya MAGARI ....👇👇👇
/ @mrsabyy
Ndugu mtazamaji gari hii inaitwa Mitsubishi Outlander na tumekwisha ielezea sifa zake katika Car Review ( unaweza itafuta video hiyo na kuitazama ) ... hapa tunamsafirishia mteja wetu mpaka alipo ikiwa ni sehemu ya huduma zetu..
Gari hii uwapo safari ndefu uta enjoy zaidi ubora wake kwa sababu ya confort iliyonayo ukiwa ndani bila kujalisha uzuri au ubovu wa barabara, pia ulaji wake wa mafuta ni wasitani kwasababu ina engine ya 1990 cc.
kwa mtu mwenye mapenzi na gari za juu kama Harrier/Subaru/Klugger nk basi nakushauri ongeza na gari hii katika mawazo yako,... Enjoy
Huduma zangu...
1: Kuagiziwa GARI JAPAN/UK/DUBAI ni BURE
2: kutolewa Gari yako Bandarini ( Clearing & Forwarding ) kwa wateja waliokwisha nunua Gari
3: Msaada wa kutafutiwa Gari mtandaoni na kupigiwa hesabu ni BURE
4: Msaada wa kuagiziwa bidhaa mbalimbali nje ya nchi
5: Kusafirishiwa Gari yako popote ndani ya Tanzania
Tumia mawasiliano haya chini.
NB: Tunafanya kazi na watu binafsi /Makampuni / Taasisi zote
--------------------------------------
Social media handle
Instagram: / mr_sabyy
Whatsapp link : https://wa.me/message/LPV2C5ESGM6CL1
☎️DM/Piga/Text 0653953900 /
☎️Whatsapp +255 653953900
📧 Email: [email protected]
🏢Company: Mofaz movers Ltd
📍Location: PSSSF HOUSE, Ghorofa ya 9, Wing A-Room 4, Samora Avenue St.
Dar es salaam, Tanzania
*NB: Triangle & Fire Extinguisher 🧯 BURE
*NB: KUAGIZIWA GARI NI BURE 🙏
*NB: KUAGIZIWA BIDHAA CHINA NI BURE🙏
All copyrights reserved under CAIRO PROMOTIONS © 2021
——————————————
#MrSabyy #Clearing_and_Forwarding #MitsubishiOutlander
#Clearing_And_Forwarding
#Clearing_And_Forwarding_Agent
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: