WARUNDI NA WACONGO KIGOMA WAKAMATWA NA VITAMBULISHO VYA KUPIGIA KURA NA VYA URAIA WA TANZANIA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-06-11
Просмотров: 12858
Idara ya Uhamiaji Mkoani Kigoma imewakamata watu 570 wahamiaji wasiofuata Sheria kutoka nchi ya Burundi pamoja na Nchi ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo huku watu 200 miongoni mwao wakiwa na vitambulisho vya kupigia kura na Vitambulisho vya uraia wa Tanzania.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: