Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Rais Mwinyi akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair Ikulu Zanzibar

Автор: Zanzibar Kamili TV

Загружено: 2022-03-27

Просмотров: 2437

Описание:

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amempongeza Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Balir kwa kutekekeleza kwa vitendo ahadi zake za kuendelea kuiunga mkono Zanzibar hasa katika mipango na mikakati ya upangaji wa vipaumbele kwa watendaji wa Serikali.

Rais Dk. Mwinyi aliyasema hayo wakati alipofanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair Ikulu Zanzibar ambaye yupo Zanzibar kwa ziara maalum.

Katika maelezo yake Rais Dk. Mwinyi alisema kuwa Waziri Mkuu Mstaafu Tony Blair kupitia taasisi yake ya (Tony Blair Institute for Global Change), imeweza kuunga mkono jitihada za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kutoa mafunzo kwa watendaji wakuu juu ya upangaji wa vipaumbele hatua ambayo ina umuhumu mkubwa katika mipango ya Serikali.

Alisema kuwa mafunzo hayo ambayo Taasisi hiyo iliyatoa kwa watendaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yana mchango mkubwa katika mipango ya Serikali na utekelezaji wake.

Aidha, Rais Dk, Mwinyi alimuhakikishia kiongozi huyo kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuthamini michango ya taasisi ya (Tony Blair Institute for Global Change), kwani imeonesha nia na dhamira kubwa ya kuiunga mkono Zanzibar ili mipango yake ya maendeleo iweze kufanikiwa ipasavyo.

Rais Mwinyi akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair Ikulu Zanzibar

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

HELLO CROWN: BABA LEVO AFUNGUKA WANAOMUUNGA MKONO KIGOMA MJINI, MZEE BUTIKU ALIAMSHA AITA WAZEE

HELLO CROWN: BABA LEVO AFUNGUKA WANAOMUUNGA MKONO KIGOMA MJINI, MZEE BUTIKU ALIAMSHA AITA WAZEE

Соловьев, Дугин и Армения – внимание к Турции, выступил министр

Соловьев, Дугин и Армения – внимание к Турции, выступил министр

Hakuna wafanyakazi 600 waliofukuzwa kazi Airport ya Zanzibar

Hakuna wafanyakazi 600 waliofukuzwa kazi Airport ya Zanzibar

RAIS MWINYI AWAAPISHA MAWAZIRI, MANAIBU WAZIRI WATEULE - ZANZIBAR..

RAIS MWINYI AWAAPISHA MAWAZIRI, MANAIBU WAZIRI WATEULE - ZANZIBAR..

LIVE: RAIS WA ZANZIBAR MWINYI AKIWAAPISHA MAWAZIRI WA SERIKALI YA AWAMU YA NANE

LIVE: RAIS WA ZANZIBAR MWINYI AKIWAAPISHA MAWAZIRI WA SERIKALI YA AWAMU YA NANE

LIVE: KUAPISHWA KWA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS OTHMAN MASOUD OTHMAN - IKULU ZANZIBAR

LIVE: KUAPISHWA KWA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS OTHMAN MASOUD OTHMAN - IKULU ZANZIBAR

BEI YA MAFUTA ZANZIBAR MBIONI KUPUNGUA, AGIZO LA RAIS MWINYI LATEKELEZWA

BEI YA MAFUTA ZANZIBAR MBIONI KUPUNGUA, AGIZO LA RAIS MWINYI LATEKELEZWA

Rushwa Zanzibar yamkera Rais Mwinyi, aomba usaidizi wa mashirika yasiyo za kiserikali kuiondoa

Rushwa Zanzibar yamkera Rais Mwinyi, aomba usaidizi wa mashirika yasiyo za kiserikali kuiondoa

WASANII WALIOINGIA IKULU ZANZIBAR KUONANA NA RAIS MWINYI WAMEFUNGUKA HAPA

WASANII WALIOINGIA IKULU ZANZIBAR KUONANA NA RAIS MWINYI WAMEFUNGUKA HAPA

BAADHI YA WALIKABIDHIWA NISHANI NA MH.DK.SHEIN IKULU ZANZIBAR

BAADHI YA WALIKABIDHIWA NISHANI NA MH.DK.SHEIN IKULU ZANZIBAR

LIVE: RAIS MWINYI ANAZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR

LIVE: RAIS MWINYI ANAZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI ZANZIBAR

NANDY BAADA YA KUKUTANA NA RAIS MWINYI IKULU ZANZIBAR AMEFUNGUKA WALIYOZUNGUMZA

NANDY BAADA YA KUKUTANA NA RAIS MWINYI IKULU ZANZIBAR AMEFUNGUKA WALIYOZUNGUMZA

RAIS Dk MWINYI AGUSA MAISHA YA WAZANZIBAR KWA VITENDO

RAIS Dk MWINYI AGUSA MAISHA YA WAZANZIBAR KWA VITENDO

WAZIRI MKUU ALIVYOWASILI ZANZIBAR KWA AJILI YA KUAGWA KWA MWILI WA HAYATI MAGUFULI...

WAZIRI MKUU ALIVYOWASILI ZANZIBAR KWA AJILI YA KUAGWA KWA MWILI WA HAYATI MAGUFULI...

Как устроена российская шпионская сеть в Латвии. Расследование «Досье»

Как устроена российская шпионская сеть в Латвии. Расследование «Досье»

KAULI ya WAZIRI MKUU AKISHUHUDIA NDEGE MPYA 2 ZIKITUA ZANZIBAR..

KAULI ya WAZIRI MKUU AKISHUHUDIA NDEGE MPYA 2 ZIKITUA ZANZIBAR..

Kinachofanya ujenzi wa jengo jipya 'airport' ya Zanzibar kutiliwa shaka, hiki hapa

Kinachofanya ujenzi wa jengo jipya 'airport' ya Zanzibar kutiliwa shaka, hiki hapa

Что происходит в Чечне и что это говорит о будущем России (English subtitles)

Что происходит в Чечне и что это говорит о будущем России (English subtitles)

RAIS MWINYI Azindua JENGO la BILIONI 10 Lenye MVUTO ZANZIBAR,

RAIS MWINYI Azindua JENGO la BILIONI 10 Lenye MVUTO ZANZIBAR, "Tumepata THAMANI ya FEDHA ZETU"...

🔴 СРОЧНО СХВАТКА В ДАВОСЕ: ТРАМП ПРОТИВ ЕВРОПЫ! #новости #одиндень

🔴 СРОЧНО СХВАТКА В ДАВОСЕ: ТРАМП ПРОТИВ ЕВРОПЫ! #новости #одиндень

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com