BIL 7.5 ZA KOROSHO ZINAENDA KWA WACHUKUZI-TCCIA MTWARA
Автор: Khomein Tv
Загружено: 2024-02-23
Просмотров: 93
Mwenyekiti wa Chemba ya Wafanyabiashara Wakulima na Wenye Viwanda Tanzania (TCCIA) Mkoa wa Mtwara Kizito Galinoma, amesema zao la Korosho likisafirishwa kupitia Bandari ya Mtwara, wachukuzi hujipatia fedha hadi sh. Bilioni 7.5 kwa msimu Mmoja.
Kizito amezungumza hayo kupitia mahojiano maalumu aliyofanya kupitia Khomein Tv, na kuongeza kuwa fedha hizo zinachangia kuchangamsha uchumi wa Mtwata kutokana na kuingia moja kwa moja mtaani.
KhomeinTvUpdates
#XclusiveZaNguvuNiHapaTu
✍️ Juma Mohamed
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: