Ange Taina - Niache [Official Music Video]
Автор: AngeTaina
Загружено: Дата премьеры: 5 авг. 2019 г.
Просмотров: 12 870 просмотров
#NIACHE #TAINA
NIACHE by Ange Taina
Audio Produced By Lex Vanny
Production At RedLeafRecords
Video shot and directed By Directror NiCKLASS in Dar Es Salaam
Enjoy the good music!!
Lyrics....
Vers 1,
Uuuuhhh Hoouohh Uoohh!! IYE,
Acha Mbali Na Mazoea,
Tulozoeana Mi Na We
Na Zaidi Ya Pumzi Si Tuka Share,
Kwakugusana Penyewe
Alinacha Ndoto Imepotea,
Mchana Kweupe
Wawili Kama Pair,
Tumekuwa Dongea
Umenifanya Adui,Wa Maisha Yako
Umesahau Hata Enzi Za Furaha
Kinachokuondosha Sikijui,Nyumbani Kwako
Tena Kwa Mikogo Huna Hata Shaaaaka!!!!
Bridge
Ila Yatapita
Na Muda Ukifika
Ntasahau
Mola Atanipa,IYEE
Yule Mwenye Sifa
Kama Zangu Kwahiyo!!!
Choulras
NIACHE
NIACHE
NIACHE
OOOH NIACHEEEE HEEH EIYEEH
Ooiyeeleele Mamaa,
Naumia Sanaa Aaaah,
Ooh Nalia,Eeehh
Vers 2
Nimekuwa Mnyonge Sana
Leo Nimevuja Pakacha
Ndio Nafuu Kwako Ila Kwangu Msibaa,
Nimepokonywa Tonge Sawa
Na Hao Wanaokupakata
Wakitosheka Kukaa Watanyanyukaa,Eeehhhh
Utanikumbuka Sana,
Kwa Mazuri Ambayo Nilifanya Kwako
Uliona Hayana Maana Ila Sawaaa
Bridge
Ila Yatapita
Na Muda Ukifika
Ntasahau
Mola Atanipa Mimi,IYEE
Yule Mwenye Sifa
Kama Zangu Kwahiyo!!!
Choulras
NIACHEEE
NASEMAJEEE NIACHEEE
NIACHEEE EEEHH
NIACHEEEE EEEHHHH
#GoodMusic #Niache #Taina
Follow Ange Taina On
Instagram: / ange_taina
![Ange Taina - Niache [Official Music Video]](https://ricktube.ru/thumbnail/d0nmeDj5dR0/hq720.jpg)
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: