Msikie Makamu Mwenyekiti wa UVCCM akitema Cheche mara baada ya kutangazwa
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2022-11-27
Просмотров: 3423
Wajumbe wa uchaguzi wa UVCCM Taifa wamemchagua Rehema Omary kuwa Makamu Mwenyekiti wa Umoja huo kwa kupata kura 416 akiwashinda Victoria Mwanziva aliyepata kura 69, Hadija Ismail kura 41 na Dorice Mgeta kura 19 katika uchaguzi wa UVCCM uliofanyika leo Jumapili Novemba 27, 2022 mji wa serikali mtumba jijini Dodoma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: