Mwl. Nyerere na Usomaji Vitabu || Mwalimu ameacha vitabu 8,000 Butiama na alivisoma vyote
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-10-14
Просмотров: 518
Katika kuangazia maadhimisho ya miaka 23 ya kifo cha Hayati Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere tutajikita katika ari yake ya usomaji vitabu na namna maandishi yake ikiwemo vitabu na majarida yalivyohamasisha watu wengine kupenda kusoma na kuandika.
Mtoto wake, Madaraka Nyerere na mwandishi chipukizi wa vitabu Lilian Mbaga wanatuelezea hayo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: