MCHENGERWA AMTUMBUA MKURUGENZI BUNGENI “NA WENGINE WAZEMBE SIKU ZAO ZINAHESABIKA” ATOA MAELEKEZO
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2023-11-04
Просмотров: 21658
Mawaziri wameanza kujibu hoja za wabunge kuhusu taarifa tatu za kamati za kudumu za bunge za Kamati ya kudumu ya bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)na kamati ya kudumu ya bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) kuhusu Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha ulioishia tarehe 30 Juni, 2022 na miongoni mwao ni .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: