UFUGAJI BORA WA BATA MZINGA:Zijue faida za kufuga bata mzinga tanzania
Автор: Shamba Darasa TV
Загружено: 2021-09-12
Просмотров: 18974
UFUGAJI WA BORA WA BATA MZINGA
bata mzinga wanahitaji matunzo ya hali ya juu. Kwa kawaida bata mzinga hula chakula kingi kuliko kuku. Bei yake ni ghali zaidi. Kabla ya kuanza ufugaji wa bata mzinga ni lazima kuhakikisha una chakula cha kutosha kwa sababu ulishaji wa ndege hawa kadri wanavyokua huwa na gharama kubwa zaidi.
Ni muhimu pia kujifunza kwa undani na kufahamu namna ya kutunza vifaranga wa bata mzinga kwa kuwa hufa kwa urahisi sana. Pia, unapaswa kujikita kutafuta soko kwa sababu wanapokuwa ni vigumu kuwatunza kwa muda mrefu kutokana na ukubwa wa gharama ya chakula.
Wafugaji wachache kati ya wengi waliojaribu kuwafuga ndege hawa na kufanikiwa hata kufikia malengo yao ni kutokana na kuzingatia lishe kamili. Pamoja na hayo, wapo wafugaji ambao walishindwa kutokana na magonjwa pamoja na gharama ya utunzaji.
#mkulimasmart
#shambadarasa
BANDA
Ni vyema banda liwe limesakafiwa au banda la asili la udongo usiotuhamisha maji. Pia, unaweza kutumia banda lenye mbao au mabanzi kwa chini. Unaweza pia kutandaza maranda kwenye mabanda. Hakikisha kuta za banda zimefunikwa vizuri ili kuwakinga dhidi ya baridi.
UFUGAJI WA KUKU,BATA MZINGA/Mixing birds keeping.
Ufugaji wa batamzinga una faida kuliko kuku
Ufugaji wa Bata Mzinga na Kuku
Zijue faida za bata Bukini na bata Mzinga.
UFUGAJI WA BORA WA BATA MZINGA
UFUGAJI BORA WA BATA MZINGA
bata mzinga in English
Fahamu biashara nzuri ya Bata Mzinga -
Ufugaji bora wa bata mzinga | MUUNGWANA BLOG
bei ya bata mzinga
faida za bata mzinga
bata mzinga dume
sifa za bata mzinga
kuku mzinga
soko la bata tanzania
ufugaji wa bata bukini pdf
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: