MAZISHI YA MAGUFULI: TAZAMA MIZINGA 21 YA HESHIMA ILIYOPIGWA KABURINI KWAKE CHATO
Автор: CHAMPION HABARI
Загружено: 2021-03-26
Просмотров: 1696
Subscribes: / kidanistars
Leo saa 10:50 jioni Ijumaa Machi 26, 2021 jeneza lenye mwili wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Magufuli lilishushwa katika nyumba yake ya milele na kufuatiwa na tukio la ndugu, jamaa na marafiki kuweka mchanga.
Magufuli alifariki dunia Machi 17, 2021 katika hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya maradhi ya moyo.
Shughuli ya maziko iliyofanyika kijiji cha Mlimani wilayani Chato Mkoa wa Geita katika makaburi ya familia ilihusisha watu wachache wakiwemo viongozi wa Serikali, wastaafu na familia yake.
Majonzi, simanzi na huzuni vilitawala makaburini hapo wakati mwili wa kiongozi huyo ukishushwa kaburini.
HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc
HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx
HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R
HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW
Instagram: / kidanistars
Facebook: / kidanistars
Twitter: / kidanistars
Subscribes: / kidanistars
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: