Sunday Ezekiel Udoba - Nuru na Giza
Автор: WANAMUZIKI WA MOROGORO
Загружено: 2015-10-05
Просмотров: 2496
Kijana huyu ana vipawa vingi. Ni mpigaji mzuri wa ala mbalimbali za muziki na muimbaji mzuri mwenye uwezo wa kucheza na sauti yake jinsi atakavyo. Ni Mhubiri mzuri wa injili. Sunday amekamilisha albamu yake na video inayokwenda kwa jina la NURU NA GIZA. Albamu hii sasa ipo sokoni.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: