Septemba 25, 2024 | Mchana | Dunia yetu mchana
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2024-09-25
Просмотров: 5755
Karibu kwenye matangazo ya mchana. Miongoni mwa utakayoyasikia ni:
Hezbollah imesema imefyetua kombora la masafa marefu kuyalenga makao makuu ya idara ya ujasusi ya Israel, Mossad.
Viongozi wa dunia wameendelea kuhutubia mbele ya hadhara kuu ya Umoja wa Mataifa, wengi wakitoa mwito wa amani na kumalizwa kwa migogoro.
China yafanya majaribio ya kurusha kombora la masafa marefu katika eneo la bahari ya Pasifiki na kuzusha wasiwasi wa kiusalama.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: