TAZAMA JINSI WACHAWI WANAVYOFANYA KAZI HADHARANI KUZUIA MIPANGO | Visa Vya Kweli - - Na Mch. Kimaro
Автор: Hub of Wisdom Inc.
Загружено: 2025-09-09
Просмотров: 131659
Je, umewahi kushuhudia nguvu za giza zikifanya kazi kwenye maisha ya watu? Katika video hii, Mchungaji. Eliona Kimaro anakupa shuhuda za namna uchawi unavyooperate kuleta ushindani katika ulimwengu wa roho na kwanini ni muhimu uwe na nguvu za kukabili.
Usikubali maisha yako yadhibitiwe na nguvu zisizoonekana. Hii ni nafasi ya kujua ukweli na kupata ufunguo wa ushindi wa kiroho.
🔔 Subscribe kwa H.W Media kwa mafunzo mengine ya kina kutoka kwa viongozi wa kiroho na maendeleo binafsi.
📤 Share video hii ili kuhamasisha kizazi kinachotafuta ukuu wenye misingi bora.
👇Shiriki mijadala hii na mingine mingi katika kurasa zetu za mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media | Tuma swali au ujumbe wako wa sauti au video kwa njia ya WhatsApp +255753825794 nasi tutauambatanisha katika toleo lijalo.
...........................................................................................................................
#Uchawi #VitaVyaKiroho #ElionaKimaro #Shuhuda #Ushuhuda #Hadithi #Mafunzo #Ndugu #Changamoto #Tumaini #NyakatiNgumuZinakujenga #Imani #Uponyaji #biashara #RevElionaKimaro #NondoZaMaisha #HWMEDIA #MaendeleoBinafsi #MotishaYaKweli #Tabia #Kenya #Uganda #Rwanda #Burundi #YouTubeTanzania #Semina #Mahubiri
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: