Kilimo: Namna ya kuandaa bustani ya nyumbani
Автор: Weyani Tv
Загружено: 2019-05-04
Просмотров: 1600
Jembe halimtupi mtu, wasemavyo wahenga. Hata ukichimbachimba upenuni pako, ukaatika mbegu mbili tatu, baada ya muda utapata cha kutia mdomoni. Msikilize Bi Time Bakar wa Community Forests Pemba - CFP akikufahamisha namna bora zaidi ya kuandaa bustani yako ya nyumbani ili iweze kukulisha na watoto wako. #MtuNiJembe
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: