#LIVE
Автор: Nasaha Crew
Загружено: 2024-04-21
Просмотров: 24522
Kundi la Nasaha linakuletea ule usiku wa furaha yaani Laylatul Helwa Mubasharatan - Live moja kwa moja kutoka katika ukumbi wa Diamond Jubelee Upanga Dar es Salaam.
Ni shauwal nyingine tena Nasaha Crew wanarindima moja kwa moja na kukonga nyoyo za wana - Dar es Salaam ili kuendelea kuleta furaha mara baada ya Eid El fitri.
#shriffkoba
#mariamhamdun
#muhammedkhamisi
#masoodferuzi
#yahyabihaki
#suleimanmunta
#maujud
#masti
#rahman
#daruwesh
@nasaha_crew
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: