Maswali Mazito Kanisa la Gwajima: Mali Zapotea Chini ya Ulinzi wa Polisi, JE NI KWELI ?
Автор: HARAKATI TV
Загружено: 2025-12-20
Просмотров: 7187
Maswali Mazito Kanisa la Gwajima: Mali Zapotea Chini ya Ulinzi wa Polisi, JE NI KWELI ?
Mapya yameibuka katika Kanisa la Ufufuo na Uzima chini ya Askofu Josephat Gwajima, baada ya uongozi wa kanisa hilo kudai kuwepo kwa upotevu na uharibifu wa mali zenye thamani ya Sh2.7 Bilioni. Tukio hilo linadaiwa kutokea katika kipindi ambacho kanisa lilikuwa chini ya ulinzi wa Polisi Tanzania, jambo linalozua maswali mazito kuhusu uwajibikaji na usalama wa mali za taasisi za kidini
Kwa sasa, uongozi wa kanisa unasema unasubiri msimamo wa Serikali kabla ya kuchukua hatua zaidi, wakati Polisi Tanzania wakithibitisha kuwa uchunguzi dhidi ya madai hayo unaendelea kufanyika.
Hii ni moja ya habari kubwa zinazoendelea kuibua mjadala mpana nchini, huku sakata hili likiacha maswali mengi: Mali hizo zilipoteaje? Nani anapaswa kuwajibika? Na hatua gani zitachukuliwa baada ya uchunguzi kukamilika?
Endelea kutazama kwa uchambuzi wa kina, taarifa mpya, na mwelekeo wa sakata hili linalohusisha Gwajima, Kanisa, Polisi na Serikali.
🔔 BONYEZA SUBSCRIBE ili usipitwe na habari na uchambuzi wa siasa za Tanzania!
#siasatanzania #uchambuzi #PolisiTanzania #ccm #askofugwajima #kanisa #HabariZaLeo #KanisaLaUfufuoNaUzima
News Theme 1 by Audionautix is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. https://creativecommons.org/licenses/...
Artist: http://audionautix.com/
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: