PART 03: ALIYEFANYA UJAMBAZI ASIMULIA:UTEKAJI/ MABASI/BASTOLA/MANZESE/ HUKUMU YA MIAKA 60..
Автор: Dar24 Media
Загружено: 2025-01-21
Просмотров: 4330
Ramadhani Sabuni almaarufu kama "KING SOPU" ni kijana wa kitanzania alliyepitia matukio kadhaa katika maisha yake, matukio hayo yalichangia kwa kiasi kikubwa kubadilisha ndoto na hata safari ya hatma ya kijana huyo.
Ramadhani anaingia jijini Dar es salaam katika mazingira ya kutatanisha, na ndipo anapojikuta katikati ya mitaa ya Manzese, huko ndipo Mwanzo wa historia yake ya kutisha inapoanza kuandikwa.
karibu katika simulizi za kweli usafiri nami ili ujifunze na kutafakari maana ya maisha hii ni "MBANGA"
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#mikasa #mbanga #simulizi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: