UONGOZI WA KASSIM MAJALIWA: Historia Iliyotikisa Tanzania| FMB TV
Автор: FMB TV
Загружено: 2025-11-14
Просмотров: 20519
Safari ya Kisiasa ya Kassim Majaliwa ni simulizi ya kuvutia ya kiongozi aliyepanda ngazi kutoka ualimu hadi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Katika video hii, tunachambua hatua kwa hatua maisha yake ya kisiasa, mafanikio yake, changamoto alizokutana nazo, na urithi anaouacha baada ya kutamatisha nafasi ya Uwaziri Mkuu.
Tazama hadi mwisho ujifunze kuhusu uongozi wa utulivu, uadilifu, na huduma kwa wananchi.
Usisahau ku-like, ku-comment, na ku-subscribe kwa video zaidi za historia na siasa za Tanzania.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: