Msitu wa Boni katika kaunti ya Lamu wajulikana kuwa maficho ya magaidi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-07-18
Просмотров: 3089
Msitu wa Boni umefahamika pakubwa na historia ya kuwa maficho ya wanamgambo wa Al Shabaab na mara kuwa chini ya darubini ya maafisa wa usalama. Hata hivyo, usichokijua ni kuwa, msitu huu una sifa ya mandhari mazuri ya kuona wanyama aina ya Twiga kwa wale wanaozuru na kupita barabara kuu ya Lamu - Witu na Garsen inayopita katika msitu huu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: