Rais: Tumebuni sera kuhakikisha kuwa Kenya inaafikia hadhi ya taifa lililostawi.
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-01-20
Просмотров: 14
Rais William Ruto amesema kuwa serikali yake inalenga kutumia sera mwafaka zilizopo na raslimali zilizowekezwa kuhakikisha kuwa taifa la Kenya linashuhudia mabadiliko na kuafikia hadhi ya taifa lililostawi.
Rais ambaye amezungumza alipokutana na mabalozi wanaelekea kuwakilisha Kenya katika mataifa ya kigeni, amesema kuwa mchakato huo umeanza na kwamba hakuna kurudi nyuma.
Victor Kayanda na taarifa Ile
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: