Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

ZECO YAFANUA SABABU ZA KUKATIKA UMEME MARA KWA MARA ZANZIBAR

Автор: ASAM Online TV

Загружено: 2026-01-23

Просмотров: 1548

Описание:

Kukatika kwa umeme mara kwa mara visiwani Zanzibar kunatokana na ongezeko la miradi mikubwa ya uwekezaji inayoendelea kutekelezwa katika maeneo mbalimbali, hali inayosababisha shinikizo kwenye mfumo wa upatikanaji wa umeme na wakati mwingine kusababisha umeme kuzimwa bila mpangilio maalumu.

Hayo yameelezwa na Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO), Ndugu Haji Mohamed Haji, wakati akitoa maelezo kuhusu changamoto ya upatikanaji wa umeme inayojitokeza nchini, alipokuwa akizungumza ofisini kwake Malindi, Wilaya ya Mjini.

Amefafanua kuwa ujenzi wa viwanda, viwanja vya michezo pamoja na miradi mingine mikubwa ya uwekezaji umeongeza mahitaji ya umeme, hali inayosababisha kupungua kwa nguvu ya upatikanaji wa umeme kwa wakati mmoja katika baadhi ya maeneo.

Aidha, amesema kutokana na changamoto hiyo, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeandaa mpango wa kuboresha na kuimarisha matumizi ya betri maalumu za kuhifadhi umeme, hatua itakayosaidia kuongeza uthabiti wa huduma ya umeme na kuwezesha wananchi kupata umeme wa uhakika kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

Kwa upande wao, wananchi wameliomba Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) kuboresha miundombinu ya umeme na kuweka utaratibu wa kutoa taarifa kwa wakati kuhusu sababu za kukatika kwa umeme, ili kuepuka usumbufu unaosababishwa na kuzimika kwa umeme bila taarifa.

ZECO YAFANUA SABABU ZA KUKATIKA UMEME MARA KWA MARA ZANZIBAR

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

RASMI ZANZIBAR YAPOKEA MABASI 10 YA UMEME KWA AJILI YA KUBEBA ABIRIA

WAZIRI DKT. KHALID AGUSWA NA WAENDESHA BODABODA, AJALI ZAONGEZEKA

Maalim Seif alisalitiwa kila upande | JANUARI YA DAMU | SEHEMU YA TISA

MTANZAIA ANAYEFANYA KAZI za NDANI OMAN AJENGA BONGE LA NYUMBA TANGA - ASIMULIA ANAVYOISHI NA BOSI...

SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR YAJIPANGA KUIMARISHA MIRADI YA MAENDELEO YA SEKTA YA BAHARI

#BODALETU MAAJABU YA VIJANA WADOGO DHAMANA KUBWA. Ep11

SABRA MACHANO: Nilifukuzwa kazi ZSSF kisa natembea na RAIS

KAMA ULAYA: SHUHUDIA MSAFARA WA MABASI MAPYA YA UMEME YALIVYOKATIZA MITAA YA ZANZIBAR

AMKA NA BBC SWAHILI LEO 26/01/2026 JUMATATU ASUBUHI, BBC SWAHILI LEO

MAISHA ya NDOA ya MILIONEA wa OMAN na MKEWE - WAFICHUA MAHABA YAO - MKE wa KWANZA ALIVYOIACHA NDOA

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Leo Mchana | Januari, 26 2026 | Swahili

MANISPAA YA MJINI ZANZIBAR YATOA AGIZO LA KUONDOA WAFANYABIASHARA WASIORASMI

MNYIKA ALIVYOMFANYA MBOWE ATIKISE KICHWA MSIBANI AKISIMULIA MKASA wa MZEE MTEI NDANI ya CHADEMA....

MZEE UJUDI AINGIA MKENGE MDADA WAKE WA KAZI KUMBE NI MWANAMME

''ZANZIBAR IPEWE NAFASI'' MBUNGE KING ashusha PONTI kuhusu MUUNGANO

TAHARUKI MWERA: ALIYEDAIWA KUFARIKI AFUFUKA, FAMILIA YAELEZEA MKASA MZIMA.

RIPOTI KUHUSU UCHAGUZI MKUU 2025 WA ZANZIBAR, YAWASILISHWA HADHARANI

KIMENUKA! Mbunge Awacharukia Wabunge Wanaoidharau Zanzibar

ALI KARUME: MFUMO WA SERIKALI 3 NDO UNAFAA, WE RAIS MZIMA WA ZANZIBAR ANAKUWA WAZIRI KWENYE MUUNGANO

SUPRISE YA DKT. MWINYI, MABASI YA UMEME AYAINGIZA ZANZIBAR

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com