Nini cha kufanya ukimkosea MUNGU!!!?
Автор: DaudiEM
Загружено: 2025-09-18
Просмотров: 1324
"Unapomkosea Mungu, maneno yako yanaweza kuwa daraja la msamaha au kizuizi cha rehema. Katika video hii ya dakika 15, tunajifunza kutoka kwa Daudi katika Zaburi 51 na mfano wa Farisayo na Mtoza ushuru jinsi ya kuzungumza na Mungu baada ya dhambi. Utagundua siri ya toba ya kweli na jinsi ya kurudi kwa Mungu bila hofu wala aibu.
📖 Zaburi 51 | Luka 18:9–14
Kumbuka: Mungu huwapinga wenye kiburi, bali huwapa neema wanyenyekevu."
SUBSCRIBE kwenye chanel ya DAUDIEM kwa mafundisho kama haya kila wiki
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: