VIDEO: MAJUKUMU YA MTAALAM WA USINGIZI KATIKA CHUMBA CHA UPASUAJI, MSIKIE NDG.KAKINDA
Автор: Nkinga Referral Hospital
Загружено: 2023-10-16
Просмотров: 7030
Oktoba 16 kila mwaka dunia huadhimisha siku ya wataalamu wa usingizi na ganzi dunia, ndugu Jeremiah Kakinda mtaalamu toka chumba cha upasuaji Hospitali ya Rufaa ya Nkinga abainisha majukumu waliyonayo katika kufanikisha huduma ya upasuaji.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: